
chuo kikuu cha mlimani-UDSM

wadada walikuepo kumshuhudia hasheem akidunda kikapu

edwin nae aliapo ..

kumbe na huyu alikuepooo pia..

mjamaa mrefuuuu...chek chek aisee....

watu kibao waliepo siku hiyo ya jmosi kumcheck mtu wao wa NBA

hasheem akiingiza mpira kikapuni kama ananawa vile

fid ,mussa(eatv) , mchomvu

mchomvu ,lamaar na ngosha the don(fid Q) walikuwepo

djchoka , b12 na mjamaa walikuepo

DJ-mdogo wa hasheem na washkaj

hasheem ndani ground

watu wewee kitu wavuni

washkaj wakigonga pic na mdogo wa hasheem(alikua dj siku hiyo)

ndani ya ground

kama NBA hiivii...

kikapu changu wazeeiyaaaah


hasheem na wazeiyaaah
No comments:
Post a Comment