Sunday, 22 November 2009

CLUB MAARUFU TOKA DSM CITY KNOWN AS MAISHA CLUB IKITEKETEA KWA MOTO HIVI SIKU ZA KARIBUNI

zimamoto wakijaribu kuuzima moto
ndani ya club kwenye dancefloor kukiwa chakachaka hakutamaniki

ishateketea bado wanazuga wakati wamechelewa
"hii ndo bongo bana"


moto ukiwa umeshamiri nakuunguza kila kitu kwenye club hiyo




Sunday, 8 November 2009

BONGE LA HARUSI AFRICAN WEDDIN STYLE

Haya mchukue kozi Feruzi na mkaza.. Sherehe Ya Arusi Yenye Tofauti!
NASEMA hakuna talaka sawa...

ring polepole kwenye kidole ,me n u 4eva


haaaaayaaaa


tha day ...kanisani polepole kutimiza lengo lililokusudiwa



bi harusi anameremeta eehh


hayaa tujiandaee

check ndinga ya bw na bi harusi aisee...

Mpoto na wanaharusi wakismile 'that tha day'





mrisho wa mjomba mjomba akimwaga cheche kwa waalikwa

hii kweli ni african weddin
check vinywaji ni madafu
na matikiti maji kwenda mbele

mrisho mpoto akikata dafu
step by step baby

tuserebukee aeaeeeee

bwana harusi na bi harusi
























'mwenzangu' check birthday ya NYOTA mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel Jujuman,

NYOTA mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel Jujuman, alifanya sherehe ya kutimiza umri wa miaka 23 nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Sherehe hiyo ilikuwa bomba mbaya, maandalizi yake yalikuwa babu kubwa na kuwahusisha wasanii wenzake kibao wa Bongo Movies. na ishu inasomeka kama ifutavyo:
Aunt Ezekiel akiongea na Maimartha Jesse aliyekuwa mshereheshaji wa shughuli hiyo (MC).

Kimwana Manywele namba 2-mwaka 2007/2008, Husna Idd, akionyesha umahiri wake wa kukata mauno katika sherehe hiyo


Maimartha Jesse na washiriki wengine wakisakata rumba kwa pamoja



Aunt Ezekiel na Maimatha Jesse wakikamua msosi kwa pamoja




Brandina Chagula ‘Johari’ (Kulia) akijaribu kujitetea baada ya kuombwa kutoa shoo ya kurukaruka kichura.





Msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya Ndikumana, akitoa shoo kwa wageni waalikwa kwa kucheza wimbo wa Taarab baada ya kuombwa kufanya hivyo







Tuesday, 20 October 2009


Vijana wa twanga pepeta wakiwapa raha watazamaji wake ndani ya kino world,leaders

unajua wewe nawe umo katika mapedeshee wa kino ,fanya kinywaji bac kaka sai........

Sasa kaka idd baka nisaidie 2 hata kazaa.......,nimechoka lakini c unanikumbuka mi ni rapa waa.. twaa..........

Huyu ni dume laakini anakata mauno balaaa........hiyo ni ndani ya twanga,leaders bonanza

People visited