Sunday, 8 November 2009

'mwenzangu' check birthday ya NYOTA mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel Jujuman,

NYOTA mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel Jujuman, alifanya sherehe ya kutimiza umri wa miaka 23 nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Sherehe hiyo ilikuwa bomba mbaya, maandalizi yake yalikuwa babu kubwa na kuwahusisha wasanii wenzake kibao wa Bongo Movies. na ishu inasomeka kama ifutavyo:
Aunt Ezekiel akiongea na Maimartha Jesse aliyekuwa mshereheshaji wa shughuli hiyo (MC).

Kimwana Manywele namba 2-mwaka 2007/2008, Husna Idd, akionyesha umahiri wake wa kukata mauno katika sherehe hiyo


Maimartha Jesse na washiriki wengine wakisakata rumba kwa pamoja



Aunt Ezekiel na Maimatha Jesse wakikamua msosi kwa pamoja




Brandina Chagula ‘Johari’ (Kulia) akijaribu kujitetea baada ya kuombwa kutoa shoo ya kurukaruka kichura.





Msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya Ndikumana, akitoa shoo kwa wageni waalikwa kwa kucheza wimbo wa Taarab baada ya kuombwa kufanya hivyo







No comments:

Post a Comment

People visited