Haya mchukue kozi Feruzi na mkaza.. Sherehe Ya Arusi Yenye Tofauti!

NASEMA hakuna talaka sawa...

ring polepole kwenye kidole ,me n u 4eva

haaaaayaaaa

tha day ...kanisani polepole kutimiza lengo lililokusudiwa

bi harusi anameremeta eehh

hayaa tujiandaee

check ndinga ya bw na bi harusi aisee...

Mpoto na wanaharusi wakismile 'that tha day'




mrisho wa mjomba mjomba akimwaga cheche kwa waalikwa

hii kweli ni african weddin
check vinywaji ni madafu
na matikiti maji kwenda mbele

mrisho mpoto akikata dafu

step by step baby

tuserebukee aeaeeeee

bwana harusi na bi harusi
No comments:
Post a Comment